El sitio
Loader
Diario en suajili de noticias de Tanzania
En portada ahora EN VIVO
-
1
TBS yatoa mafunzo ya viwango Maonesho ya Madini Lindihace 2 días
LINDI; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuwa karibu na wajasiriamali wadogo nchini kwa kutoa elimu kuhusu viwango na ubora wa bidhaa, ikiwa ni sehe…
-
2
Sh bilioni 2 zakabidhiwa kwa wanufaika wa utaliihace 2 días
MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi Sh bilioni 2.47 kwa wanufaika wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii kwa mwezi Jula…
-
3
‘Wakitoa ndege kicheko, wanahoji mkataba wa jezi ooh tutafungiwa’hace 2 días
DAR ES SALAAM; Wadau wa michezo nchini wametakiwa kusubiri ripoti ya Kamati ya Uchunguzi itakayoundwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Mak…
-
4
Kopwe: Mashariki ilinifungulia njia kuwa Miss Tanzaniahace 2 días
PWANI: MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, amesema ushiriki wake katika mashindano ya Miss Kanda ya Mashariki ulikuwa hatua muhimu katika safari yake ya urembo n…
-
5
Miss Kanda ya Mashariki waanzisha mwendohace 2 días
PWANI: Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amesema serikali itaendelea kuunga mkono mashindano ya Miss Tanzania kwa kuwa yanaendana na jitihada za k…
-
6
Mbeya wajiweka sawa kukabiliana na El Ninohace 2 días
MBEYA; SERIKALI imetoa vifaa vya ujenzi wa barabara kwa ajili ya maandalizi ya kukabiliana na mvua za El Niño mkoani Mbeya. Vifaa hivyo,ambavyo ni makaravati y…
-
7
Ushauri wa JKT kwa vijana kuhusu matumizi ya mitandaohace 2 días
KIGOMA: Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewahimiza vijana wa Kitanzania kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kuwasili…
-
8
TAEC kufanya ukaguzi matumizi salama ya mionzihace 3 días
LINDI: Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Natalis Linuma, amesema Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ni mdau muhimu katika kuhakikisha matumizi ya mionzi…
Preguntas frecuentes
-
Diario en suajili de noticias de Tanzania Es un medio de Tanzania.